Tournoi Sango/Kivu Kusini : nitakacho kifanya kesho ni kuinuwa mashabiki(coach ocf masanze)
Écrit par FiziMedia sur septembre 12, 2023

Mechi za nusu fainali kwenye mashindano SANGO BATENDJI NETHO, mjini baraka zinaleta joto kubwa kazi ya timu maasimu wa Jada. Fcf étoile ikiwa tayari imeingiya fainali ,kwa Sasa inasubiri mshinda Kati ya fcf force des filles na ocf masanze Siku ya pili 12/09/2023.
Kwake coach wa timu ya wanawake ya ocf masanze, Akili Bin Jumainne , emonesha kwamba atajitaidi kuinuwa mashabiki wa timu yake Siku hiyo.
« Kitu ambacho nitakacho kisema ni kwamba, mashabiki waje wengi kwa sababu kitu ambacho nitakacho kifanya kesho ni kuinuwa mashabiki Na Nina tumai watainuka», kwa Mara ya kwanza amesisitiza ivyo.
Ocf masanze hahijawai kuifunga fcf force des filles toka wahanze kukutana.
« Unajuwa kitu ambacho unaongeya ni kweli,…cheko, mechi nyingi huwa wanatufunga ,lakini kutakuwa mabadiliko. Wasiwe na mazoea . Kesho ni kuingiliya fainali ,nguvu ipo », ka hakikisha coach Akili.
fizimedia.com