Tournoi sango/Kivu Kusini : matokeo ya kesho ni mipango ya Mungu(coach fcf force des filles)

Écrit par sur septembre 12, 2023

Mechi ya nusu fainali kwenye mashindano ya Sango Batendji Netho, Kati ya fcf force des filles zidi ya ocf masanze ndiyo itakayo towa timu ambayo itakutana na timu ya fcf étoile kwenye fainali ,ikiwa huku étoile imeingiya fainali leo Siku ya kwanza 11/09/2023 ,baad ya kuibuka
na ushindi wa bao 8-0 zidi ya fcf tedem.

Kwake coach wa fcf force des filles, Mbabe, ameonesha kwamba mechi ya kesho siyo ya kawaida ,na inabidi kujipanga vizuri.

« kwanza naomba mashabiki wa force des filles waje. Kuusu mechi ya kesho sijajuwa mshindi sababu mpinzani wangu amejihandaa vizuri, vile vile force des filles ipo vizuri. Matokeo ya kesho ni mipango ya Mungu natarajiya ivyo », ameonesha coach MBABE.

Ocf masanze daraja la fcf force des filles ? Cheko

« Ndiyo nimekwisha funga ocf masanze mechi zote ambazo tumekwisha wai kukutana,Ila siwezi kujigamba kwa hilo, nikijigamba ,siwezi kumfunga,lakini nikijipanga vizuri nitaibuka na ushinda. Sito badili kikosi changu, kikosi kitabaki kile kile », amemaliziya coach MBABE.

fizimedia.com

Ikumbukwe kwamba mechi, itakuwa Siku ya pili tarehe ,12/09/2023 kwenye uwanja wa LUMUMBA/Baraka.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR