Breaking news: wafanyakazi watatu wa shirika la OXFAM waliokuwa natekwa nyara waachwiwa huru
Écrit par FiziMedia sur août 14, 2023

Wafanyakazi wa 3 washirika la OXFAM waliokuwa natekwa nyara na watu wasio julikana wenye kushikiliya silaa, mnamo tarehe 11/08/2023 Siku ya tano,kijijini Tundu Mushereza,ndani ya usultani wa Bafuliru,tarafani Uvira waliachiwa huru,Leo Siku ya kwanza tarehe 14/08/2023.
Waliachiwa kijijini LEMERA , mida ya saa moja asubui (7h) kama alivyo heleza Kelvin Bwija, mkurugenzi wa shirika la raia la wazalendo Kusini mwa Jimbo ya Kivu Kusini.
Mkurugenzi huyu, ameonesha piya ,watu hao wamehachiya bila sharti yoyote. Piya ameomba serekali kuongeza mbinu za kila aina ili kumaliza vitendo hivyo.
fizimedia.com