Uvira : wezi wenye kuvaliya Sare za kijeshi wapora bidhaa kazaha ndani ya duka moja kwenye Kata la Rombe.

Écrit par sur juillet 16, 2022

Wezi wenye kuvaliya Sare za kijeshi na kushikiliya silaa ,wemepora bidhaa mbali mbali ndani ya duka moja kwenye Kata la Rombe ya kwanza,manispaa ya Mulongwe ,mtaa wa 15 décembre,jijini Uvira kwenye majira ya saa Saba usiku(1h) ya Siku ya sita tarehe 16/07/2022.

Kwa muhujibu wake kiongozi wa vijana jijini Uvira,bwana Chako Changu Bonne Année Ebambe, duka hiyo ni yake bwana Philippe ,ambako wezi Hao, walifika wakamzibiti kwanza mlinzi mwengine ambaye alikuwa nalinda duka jirani ,lake ayati Kidoge.

Baada ya hapo Waka ingiliya duka hilo walilo lipangiliya, wakpora, ordinateurs,simu ambavyo idadi Bado kujulikana na bidhaa vingine vya samani.

Wakati wanaendesha kitendo ,vijana walio taka kuja kutoa msaada ,wali sambaratishwa kwa risasi.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR