Uvira: askari jeshi pamoja na walalarondo wazuiya kitendo cha wizi ndani ya manispaa ya Kavimvira.
Écrit par FiziMedia sur juillet 19, 2022

Vijana wakujitoleya ,maharufu walalarondo kwa ushirikiyano na jeshi la taïfa, walizuiya kitendo cha wizi wa kutumiya silaa ,ndani ya mtaa wa Maisha, manispaa ya Kavimvira jijini Uvira, Siku ya kwanza tarehe 18/07/2022 mida ya saa moja usiku (19h).
Kwa muhujibu wa kiongozi wa vijana jijini Uvira, bwana Chako Changu Bonne Année, wezi Hao walikuwa nne wote wakiwa nashikiliya silaa ,wali pima kwenda kuiba kwenye eneo la utengenezaji wa mikate(boulangerie Fantastique) bila fanyanyikiyo yoyote, baada ya kuingiliya Kati kwa jeshi la taïfa na vijana wa kujitoleya..
Wahalifu walikimbiya eneo lisilo julikana baada ya kusikiya milio ya risasi, kama ilivyo helezo chimbuko la habari.
Kutokana na vitendo kama n’a ivyo , uongozi wa vijana jijini Uvira,umepongeza kazi ambayo inaendeleya kufanyika nalo jeshi la taïfa piya vijana wakujitoleya. Piya umehomba Raia kutaja watu ambao wanatekeleza vitendo kama na ivyo.
fizimedia.com