Fizi: Raia watatu wahuliwa Kijijini Kiziba na watu wenye kushikiliya silaa.
Écrit par FiziMedia sur juillet 16, 2022

Raia watatu wali huwawa usiku wa Siku ya tano tarehe 16/07/2022 mida ya saa tatu usiku(21h),Kijijini Kiziba, groupement ya Bashi M’nyaka kusini, ndani ya sekta ya Lolenge, tarafani Fizi.
Kwa muhujibu wake bwana Kelvin Bwija,mkurugenzi wa shirika la Raia la wazalendo(socicordc) ,mjini uvira,alieleza kwamba, walio huwawa wote ni wanaume huku chanzo kisijulikane.
Kati ya wahanga hao , munapatikana bwana SEMUKIZA,RUGAYAMPUZI pamoja na PATRICK
Uongezi wa shirika la Raia la wazalendo umekemeya vitendo kama n’a ivyo kwa Mara nyingine ,na kuomba serekali kuhimiza nguvu mpya ili kutokomeza vitendo kama na ivyo.
fizimedia.com