Fizi : kiwango kikubwa cha pesa cha porwa n’a watu wenye kushikiliya silaa ndani ya mtaa wa Tanganyika.

Écrit par sur juillet 19, 2022

Wezi wenye kushikiliya silaa wali hingiliya ,kunako usiku wa Siku ya pili tarehe 19/07/2022 mida ya saa nane usiku(2h) , kwenye mtaa wa Tanganyika mama mmoja kwa jina Mahuwa Kindembo , huko makao makuu ya tarafa la Fizi na kumpora pesa.

Kama alivyo heleza msemaji wa shirika la Raia chunvi ya Congo tarafani Fizi,bwana Nebo Mboka, wahalifu walikuwa Tano ,wa tatu wakiwa na bunduki na wawili wakiwa nashikiliya mipanga. Wali fahulu kupora pesa elfu Mia inne na makumi mbili(420.000fc) za kongo ,piya simu moja aina ya Androïd.

Wakati kijana Wake mvulana alitaka kuja kuteteleya ,alikimbizwa kwa risasi.

Uongozi wa shirika hilo umeomba serekali kutafuta mbinu za kudumisha usalama kutokana, hali hiyo si ya kawaida makao makuu ma tarafa.

fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR