UVIRA: mkulima mmoja ahuwawa kwa risasi shambani kwake.

Écrit par sur juin 9, 2022

Mkulima mmoja apoteza maisha kwa kupigwa risasi na watu wasio julikana asubui ya Siku ya inne tarehe 09/06/2022 Kijijini Kahanda, ndani ya groupement ya Luberizi ,jijini uvira.

Kwa muhujibu wa shirika la Amani kwa watoto yatima na wajana(APEVOV) ,muanga alijulikana kwa jina la Jojo Mitezi mkaaji wa Luberizi ambaye aliku hibukiwa na wahalifu wakati wa kazi zake. Akina mama ambao wanatumika kazi Zao kwenye eneo hizo ,kwa sasa wanaogopa kwenda mashambani kwa kuogopa kubakwa na wahalifu Hao.

fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR