FIZI: wezi wanao shikiliya silaa waporwa mifugo ya wakaaji Kijijini Kenya

Écrit par sur mars 26, 2022

Wezi wenye kushikiliya silaa waliendesha kitendo cha wizi wa mifugo usiku wa Siku ya Tano 25/03 kuamkiya Siku ya sita tarehe 26/03/2022 Kijijini Kenya kangeta ,kinacho patikana umbali wa kilomita 4 mashariki mwa Kijiji cha Nùndù.

Duru za habari kutoka ma eneo zaeleza kwamba ,ni kwenye mida ya saa Tano (23h) ndipo wahalifu Hao wali vamiya Kijijini hicho,Na kuanza kupiga risasi hewani.

Walifanyikisha kuiba mbuzi 4 ,Ila mbili zili kimbiya mikononi mwa wahalifu Hao.

Raia wa eneo hilo waomba serekali kuingiliya Kati kwa sababu hicho ni kitendo cha kwanza Kijijini humo.

fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR