FIZI: wezi 4 wakutumiya panga wawekwa chini ya ulinzi na jeshi la serekali Kijijini Alamba.

Écrit par sur mars 24, 2022

Wezi nne wakutumiya panga ,Na bunduki iliyo tengenezwa kwa mbao wamekamatwa kunako usiku wa Siku ya tatu tarehe 23 kuamkiya Siku ya nne tarehe 24/03/2022 Kijijini Alamba, kipatikanacho ndani ya localité ya Bakwalumona, groupement ya Babwari ,sekta ya M’tambala, nalo jeshi la taïfa la kitengo cha FUMA.

Wezi Hao Raia wa Burundi, walikuwa wakiendesha vitendo vya wizi usiku kwa kutisha watu na silaa hiyo ya Mbao, huku wengine wakiwa nashikiliya mapanga.

Piya wana shuhudiwa kuendesha uporaji Na kukosesha usalama ma eneo Kati ya Sebele-Alamba, kama alivyo heleza msemaji wa Asasi ya Raia ya chunvi ya Congo jijini Baraka, ambaye aliomba kuwepo Na kuhojiwa kwa wahalifu Hao hazarani

fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR