FIZI: jeshi la taïfa lafanyikisha kuvirejesha vijiji vya Kamombo na Chekera zidi ya wanamgambo wa Ngumino.

Écrit par sur décembre 29, 2021

Umoja wa waasi wa Ngumino,Twiganeho na Reds Tabara uliendesha mapambano Siku ya kwanza tariki 27/12/2021 zidi ya kambi za jeshi la taïfa la jamuhuri ya kidemokrasia ya congo na kuvidhitibiti vijiji ivyo.
Mapambano hayo yalianza toka asubui Hadi jioni ya Siku hiyo.

Kwa muhujibu wa kiongozi makamu wa shirika la raia Kijijini Mi’enge,bwana M’mùnga Fahizi, alisema kwamba baada ya makabiliano ,wahamiyaji wengi walipokelewa Kijijini Mi’enge Na kuhifaziwa ndani ya shule la msingi MIKENGE. Huku kukiripotiwa kupoteya kwa mtoto mmoja wa kike n’a mama mmoja. Mpaka sasa 29/12/2021 Bado hawajaonekana.

Kwa sasa ,baada ya msaada wa majeshi mengine kuongezeka ndipo wanamgambo hao walifurushwa na jeshi la taïfa.

Ili kujuwa matokeo kamili ya mapambano hayo, major Dieudonné Kasereka msemaji wa jeshi kusini mwa Jimbo ya kivu kusini, alieleza kwamba ata hongeya kwa saa zinazo kuja, huku akihakikisha kuwa kulikuwa mahafa pande zote.

Fuatiliya habari zetu…

Fizimedia.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR