Baraka CITY: juma mbili Bila umeme, hali iko je Mjini?

Écrit par sur juin 8, 2019

Enoch David B.

Hali kiviashara mjini BARAKA jimboni kivu ya kusini siyo sawa wakati huu bahada ya genereta ya kutowa umeme ya kampuni ya PEB kuharibika huku sasa yapata Juma mbili.

Katika maojiano na idhaa ya kiswahili ya fizimedia.com ,Faliala Ekumange John ambaye ni kijana mwenye kukadiriwa kuwa na miaka 21 na ambaye kazi yake ni Ku chaji simu za mkononi amesema kuwa, viashara yake inakuwa ikipoteza samani wakati huu wateja wengi wanahanza kuhama kiosk yake kwa ukosefu wa umeme wa kutosha huku kijana huyo ikiumia Gereta ndogo aina ya YAMAHA na ambayo kusema airizishi wateja wangu,huyo ameomba kampuni hiyo ya PEB kuweze kutengeneza genereta hiyo araka ili nao waweze kukiri viashara vyoa.

Kwa upande wa shirika la raiya la uko nyumbani limesema kuwa, hali hiyo siyo tu kwa wahendesha viashara peke yao bali pia kwa watu wote ambao pia wanakuwa ni wateja wa kampuni hiyo.
Kampuni ya PEB imesema bawa iyo ya umeme imeharibika nao wanahendelea kuiteneza ,hao wana homba wateja wao waye nasubira kwani ivi karibuni watamilza shida hilo.
Mji wa baraka kusema kweli umeonekana kupoteza ubora Wake kihutali wakati nyumba nyingi za wageni zinabaki(hotel’s) zinabaki bila umeme.

Www.fizimedia.com

Uwe wakwanza kusoma habari hizi kwa ufupi.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR