Nyarugusu-Tanzania : Mkuu wa wakimbizi duniani au mwenyekiti wa shirika la wakimbizi duniani UNHCR alikuwa kambini Nyarugusu

Écrit par sur février 8, 2019

Nyarugusu Camp

Mkuu wa wakimbizi duniani au mwenyekiti wa shirika la wakimbizi duniani UNHCR alikuwa kambini Nyarugusu wilayani Kasulu mkoa Kingoma Tanzania iyi leo alhmisi february 07 kwa ajili ya mazungumzo na wakimbizi wa kikongomani na kirundi.

Alihutubiya mbele ya umati wa watu kunako Soko kuu la muungano kambini apo Nyarugusu.

Alihakiki kwamba UNHCR itaendeleya kuwaleya wakimbizi na itaboresha uduma kwa wakimbizi kambini apo kwa kuwa alipata malalamiko ya itilafu mbalimbali,
Watashulikiya pia kuwarudisha wakimbizi kwa ihari yao nchini kwao,
ila watawarudisha kwa utashi wa UNHCR mpaka pale nchi zao jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo na Burundi vitakapo kuwa na Amani ya kudumu.

Mweshimiwa mwenyekiti wa UNHCR alisema kwamba zihara yake ya kutembeleya jamii ya wakimbizi itachukuwa Siku mbili , leo alhmisi na kesho ijumaa atakuwa pia kambini Nyarugusu.

Ifaamike kwamba UNHCR uwaleya zaidi ya milioni sitini na nane +68.000.000 , watu ambao wanazidi idadi ya raia wote wa nchi ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania.

Kwa aya na mengine
Wenu mwanaharakati Ben LÙABANYA

fizimedia.com fizimediatv@gmail.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR