Nemba-Fizi : waliweza kuiba wa hendesha pikipiki kumi(10 motards
Écrit par FiziMedia sur février 12, 2019
NEMBA
watu waliokuwa nashikiliya bunduki (wawili na bunduki na wengine na miti inayo fanana bunduk).R4 na AK47 waliweza kuiba wa hendesha pikipiki kumi(10 motards) :
-ampli za radio Za moto saba
-pesa:3000$
-2.000.000fc.
-simu:4
Mambo hayo yalipitika kati ya NEMBA na MILANGA ma mida ya saa 5h-7h.
Wezi hao walikuwa wawili na masque.
Duru Za Habari toka motard:OLVIER KAKOZI.
fizimedia.com fizimediatv@gmail.com