FIZI-SWIMA : Mai mai waliokuwa ambao wali jiunga na jeshi la taïfa la mboko kijiji swima
Écrit par FiziMedia sur février 24, 2019
Mboko
Maimai waliokuwa ambao wali jiunga na jeshi la taïfa la mboko kijiji swima wamejielekeza porini usiku wa kuamukia leo tariki 23/02/2019 canzo yao kurudia porini hakijafahamika mpaka sasa
Ifahamike kwamba maimai hao sana Rudi porini nibaada ya wengine watata kushukia sanza kijiji kinacho patikana ndani ya groupement ya basimukuma nord secta ya Tanganyika mwendo wa saa tatu za usiku nne ya juma hii usiku na kurudia tena porini .
Askari wataifa waliofia kuwafwa wakiwaza kwamba uenda wamepatwa nawoga hasa waki hii maimai hao walikuwa wa kija mumoja baada ya mwengine siku kwasiku kama tulivyo harifiwa na jeshi la taifa.
Ikumbukwe kwamba maimai hao jumla yao walikuwa 37 ambao walikuwa wamejengewa kambi ambapo walipo kuwa wame ifaziwa na serekali
Nitarifa ya kufwatiliwa
Www.fizimedia.com