Fizi-Sebele : Sociv wendesha pikipiki wasema kuchoshwa na askari wa Fardc

Écrit par sur février 15, 2019

Sociv:fizi-sebele:wendesha pikipiki wasema kuchoshwa na askari wa Fardc

Baazi ya waendesha pikipiki maeneo za sebele, mji wenye kupatikana kwenye umbali wa kilometa21kusini magaribi na mji mkuu wa baraka, hao wadai kusimamisha kazi kutokana na vitendo vibaya ambavyo vinahendeshwa na askari wa fardc kwa kuwasumbukwa kwenye mitamba fulani.
Kitendo cha ivi karibu kimejitokeza mda mdogo tu katika tarehe ya 12/02/2019, huku mtembeza pikipiki mmoja aliweza kumbeba askari mmoja ambaye alikuwa akipeleka mfungwa kwenye jela kuu ya baraka alipo shindwa kulipa feza za safari kutoka sebele hadi baraka, habari toka mashaidi za sema kuwa kuliripotiwa na vurugo nyingi na purukusheni kati ya muhungano wa waendesha pikipiki Nao askari hapo baraka.
Katumbi Claude ambaye ni mtembeza pikipiki na ambaye alipana habari kwenye Www.Fizimedia.com, huyo amesema kuwa askari huyo wa fardc aliweza kumtishia maisha kwa kuweza kuwakisha bunduki.

Shirika la raiya la sebele limetaja kuwa, hali iyo sio ya kwanza mahana n kama Kitendo cha saba tangu mwanzo mwa mwezi huu wa pili huku raiya wengi wanakuwa wahanga wa ku wabebeya askari mizigo, Shirika la raiya la tarafa la fizi limehomba serikali ya jamuhuri ya kidemokratisia ya Congo kuwa funza wana jeshi wake, kwani maeneo za sebele askari wengi wana wachukuwa raia kama adui.
Kijiji cha sebele kina kuwa kinakabiliwa na mikasa mengi ikiwemo mapigano kati ya jeshi ya taifa fardc na wahasi wa MAI MAI yakutumba.

Art By Enoch Aluta

www.fizimedia.com fizimediatv@gmail.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR