Baraka-Fizi : Mwili moja usiokuwa na maisha, umekutwa maeneo za Mwambango hapa baraka

Écrit par sur février 3, 2019

KIFO MJINI

Mwili moja usiokuwa na maisha, umekutwa maeneo za Mwambango hapa baraka mashariki mwa Congo, jimboni kivu ya kusini, kulinga na na utafiti wa Fizimedia.com baraka, hali iyo imejitokeza tu huku Miliyo mkali ya risasi aina ya Ak 47 imesikika maeneo hayo ya baraka katika mida ya usiku.

Mji wa baraka unakuwa ukikumbwa na vitendo vya mauwaji dhidi ya raiya wakati huu.

Ivo Shirika la raiya la tarafa la fizi laomba watu wote wenye kumiliki silaa kinyume na sheriya ya jamuhuri ya kidemokratisia ya Congo kuweza kuzirudisha kwenye viongozi usika, nakuweza kujisalimisha bila tatizo .

Ivo jueni kuwa hadi sasa vyombo vya dola vimebaini kuhanzisha utafiti ili kujuwa ni nini ndio chanzo cha hayo mahafa kujitokeza, huku Mwili wa marehemu unapatikana kwenye chumba cha kuifadhi maiti cha Hospitali ya Shirika la waganga wasio na mipaka MSF H.

Mwandishi, Faraja Mulumba FAMURE
www.fizimedia.com fizimediatv@gmail.com Ben LÙABANYA


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR