Baraka-FIZI : kulikuwa show ambayo ili handaliwa na CASH MAN TEAM

Écrit par sur février 16, 2019

Ukumbi wa Meladen club wachafuka kiasi mno, Www.Fizimedia.com kulikuwa show ambayo ili handaliwa na CASH MAN TEAM juu ya sikukuu ya mtakatifu valentin. aliweza kuwa shusha PASLEE na SADI BABA na kuwashirikisha (kuwa halika) wasanii wa baraka na uvira :MR JIBU,BABU JONHSON,WANGESTER na ALIAS(uvira). Kiingilio ilikuwa 1500fc, kumeweza kuingiya watu takribani mia tatu(300 personnes), Www.Fizimedia.com tulizungumuza na mwana mziki wa kizazi kimya Mr JIBU, uyo alidai kuwa vipaji wanavyo bali fizi akujawa na samani ya mziki.

Fizimedia.com

par Faraja FAMURE correspondant de Www.Fizimedia.com À Baraka.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *



En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR