FIZI-RDC : Historiya ya uhamiaji wa makabila yanayo ishi tarafani za Fizi
Écrit par FiziMedia sur janvier 29, 2019
Historiya ya uhamiaji wa makabila yanayo ishi tarafani za Fizi,
Mwandishi G. Weis, katika kitabu chake kinachoitwa Le pays d’Uvira anasema Wabembe
Origine ya wabembe piya ni Maniema katikati ya mito Ulindi na Elila walifika (Fizi ) au bord du lac Tanganyika mu 17e siècle) walikuta wenyeji wa hapo: Wa masanze,wa bwari ,wa buyu, wa goma,waoloolo( yani wa joba en général ) na wambote. wakajichanganya wote. Yani katika tarafani fini kuna ma kabila mengi tu. imeandikwa Na G. Weis.
Ushahuri wangu ni kwamba muheshimiyane muishi kwa amani. Asanteni kwa usikilivu mwema.
Fizimedia.com