Misisi.Kijana huyu amejinyonga wakati alipotambuwa kwamba mke wake anao wapenzi wainje na alafu kukawa Mabishano makubwa ndipo kaenda kujiua. Hadi muda kama na huu mke wake Ametoroka na kukimbiya asifuatwe na serikali. Fahamu yakua askari jeshi pamoja na polisi wamefika maeneo hayo kwaajili ya uchunguzi zaidi. Kumbuka yakwamba yapata sasa zaidi ya watu 10 ambao wamejiua musimu huu ya mwaka wa 2018. www.fizimedia.com
WordPress:
J’aime chargement…
Articles similaires
Les opinions du lecteur
%d blogueurs aiment cette page :