Baraka-Centre : Mr Majaga kihongozi wa wavunja pesa mjini Baraka amepingwa risasi iliyo sikilika usiku waleo
Écrit par FiziMedia sur décembre 22, 2018
Baraka-Centre : Mr Majaga kihongozi wa wavunja pesa mjini Baraka amepingwa risasi iliyo sikilika usiku waleo Baraka nakwasasa yuko mahutihuti kwenye Hopital ya Baraka inayo zaminiwa na shirika (MSF-H).
N.B : Ndugu Majara alivyo fika hospitali alikuwa kwenye alimbaya sana. kwamuda mchache ndugu akafariki. Poleni sana ndugu jamaha na marafiki wote. Basi marehemu ajimpumzishe mahali pema.
