Kongo: Nabii AMHIRADO ANWEMA Dawa ya kutunza ugondjwa wa corona virus yagunduliwa Fizi

Écrit par sur mars 26, 2020

©Ph FiziMedia, Askofu Amisi Anwema akiwa katika mavazi ya kawaida.

©Ph FiziMedia, Askofu Amisi Anwema akiwa katika mavazi ya kawaida.

Nabii Amisi Mikaya Ahmirado Anwema amesema amepewa dawa ya kutibu ugondjwa wa corona virus na mwenyezi mungu.

Leo tribat, nikiwa katika maombi ya siku moja tu, tangu saa sita za usiki wa tarehe 25-26 marchi 2020, nimepewa dawa ya covid-19 kwa mataifa.
Ila siwezi kuhitangaza azarani, nitaomba wanipe watu kumi tuwapime na dawa hiyo, kisha wenyewe waseme na kushuudiya kama wamepona hata wakiwa mbali sana Amesema Amhirado.

Ahiza pasta huyo wa kanisa la jamaa takatifu amesema dawa hiyo yaweza patikana popote ulimwenguni.

Nabii huyo, ameongeza kwamba Mungu ni muweza ya yote hapa chini ya juwa.

Mungu ni mkubwa sana tena sana zaidi na sifa zote zimuendeye yeye amemaliziya Amhirado.

Naye Masuku Kashindi Descartes / Baraka – Fizi.


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR