NIGERIA YAWARUDISHA NYUMBANI RAIA WAKE WANAOISHI AFRIKA KUSINI.

Written by on septembre 10, 2019

Enoch David

Wiki moja baada ya vita dhidi ya waafrika nchini Afrika kusini na kusababisha vifo vya watu kumi,ubalozi wa Nigeria mjini Johannesburg umetangaza leo jumatatu kuwarudisha nyumbani raia wake zaidi ya 600.
Vita vya hivi karibuni vimesababisha nchi nyingine za Afrika kujibu mashambulizi hayo. http://www.fizimedia com
Ni raia 600 kwa sasaambao wako kwenye ubalozi wa Nigeria wakiomba kurudi nchini mwao,kwa hiyo wanigeria 320 watasafiri siku ya jumatano kwa kutumia ndege ya shirika la ndege la air peace.


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Current track

Title

Artist

FiziMedia

GRATUIT
VOIR