BARAKA-RDC: nyumba za bomoka na kuruka
Written by FiziMedia on mars 21, 2019
BARAKA-RDC: nyumba za bomoka na kuruka.
Nvua kubwa iliyo hambatana na upepo mkali ambayo ilinyesha usiku wa jana 20/03/2019 kuamkiya leo 21/03/2019 ma mida ya saa tano hadi saa saba (23h-1h) ya sababisha mafuriko Mengi, nyumba kubomoka na zingine kiruka paa.
Raia waomba serekali kutowa msaada.
Rédaction
Baraja famure
Éditeur
Kassanga Lùabanya
Www.fizimedia.com
fizimediatv@gmail.com