Nyarugusu Camp : Kumechacha kambini Nyarugusu, Soko kuu la muungano limefungwa kwa mara nyingine tena

Écrit par sur février 25, 2019

Nyarugusu Camp

Kumechacha kambini Nyarugusu,
Soko kuu la muungano limefungwa kwa mara nyingine tena.
Biashara zote zimefungwa, akuna mtu anaye ruhusiwa kulema sokoni tena mpaka pale Serikali itakapo tangaziya wakimbizi tena.

Ifaamike kwamba Soko iyo ilikuwa inalema mara tatu kabla ila ilifungwaga mnamo mwaka jana 18 August 2018 na lilipo funguliwa, walibadili siku za kulema na kwa sasa ilikuwa inalema mara moja kwa week , ijumaa .

Soko kuu la MUUNGANO limefungwa tena mda usio julikana,
Duru zetu kambini apo zimeripoti kwamba, wametangaza  » mpaka pale watakapo tangaza tena kama walivyo tangaza  ».
Gari lilizunguuka kambini kwete likiwa na vipaza sauti kwa juu uku likitowa tangazo ilo.

Notre Site 👍
👇👇👇
fizimedia.com fizimediatv@gmail.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR