Fini : Dr Mialano Tangania kwa Maendeleo ya fizi 2023

Écrit par sur février 12, 2019

Dr Mialano Tangania kwa Maendeleo ya fizi 2023

Dr Mialano aliojiwa na Fizimedia.com kuhusu mwito wake, huyo amadai kuita miungano yote ya mashariki za kiraiya tarafani fizi, na pia mashariki zote za kibanafsi kwa ajali ya uchaguzi inchini jamuhuri ya kidemokratisia ya Congo mwaka 2023 ijayo.
mwana diplomasiya huyo, ametowa mwito kwa Kabila la wabembe kuhungana kwa ajali ya uchaguzi, uyo amehomba wabembe waishiyo ndani ya inchi ya jamuhuri ya kidemokratisia ya Congo na wale ambao wanaishi inje kuhungana mkono ili aweze kugombania kitu cha uraisi inchi DRCongo kwenye uchaguzi wa 2023.

Dr Mialano amehonekana kuwa mwenye kujali umoja wa wabembe pia maendeleo ya tarafa la fizi ambayo aniita kuwa inchi ya Mwanzo wa maendeleo ya tarafa la fizi, ingewaje Dr Mialano Tangania kukatwazwa na serikali ya Raïs Joseph Kabila Kabange kuwasili hapa inchini huyo amesema yote itawezakana wakati huu inchi ya jamuhuri ya kidemokratisia ya Congo inaonekana kuhanzisha hatuwa ya kuheshimu Démocratasia.
Kwengineko Dr Mialano amadai kuwa ataweza kubeba tarafa la fizi kichwani mwake na kuliwakilisha kisiasa Duniani nzima, mzaliwa huyo wa tarafa hilo, ni mtalamu katika fani nyingi, ikiwemo siasa, maendeleo, amehomba wabembe kuhungana kwa umoja kwani « EBULO IBITA » na pia « ÉÚTE WAPATA WATONDELA…. ».
Mialano amehaidi kuweka umeme, maji, masomo kwa uwingi tarafani fizi,

Dr Mialano amehomba vijana wa baba tarafa la fizi kutokuweza kupelekwa na wana siasa wasio kuwa na mahana, kwani vijana wengi wa nakuwa wahanga wa vite ndo vya mahandamano, Mialano amehomba pia mahombi ya jamii mzima ya wabembe ili kutimiza na kufikia malengo yake kisiasa inchi jamuhuri ya kidemokratisia ya Congo.

Art Enoch Aluta
Édit LÙABANYA KASSANGA

Www.Fizimedia.com Fizimediatv@gmail.com


Les opinions du lecteur

Laisser un commentaire

Votre adresse email ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *En ce moment

Titre

Artiste

%d blogueurs aiment cette page :
FiziMedia

GRATUIT
VOIR