Nyarugusu-Camp : wa jambazi wana maliza kuiba watu vitu kambini Nyarugusu
Written by FiziMedia on décembre 7, 2018
Shillingi zaidi ya mlioni moja, sim tatu, battery na solar, ndivyo vilivyopelekwa na wezi walioshikilia silaa walipomuingilia baba mmoja mkaaji wa kambi ya nyarugusu inchini tanzania. Ilikuwa usiku wa kuamkia siku ya pili desemba 4, 2018 majira ya saa tano unusu usiku saa za afrika mashariki.
Mwandishi wetu shabani djuma shabien toka kambini.
Fizimedia.com