BARAKA-Fizi : Bahazi ya mashaidi wa vyama vimoja wasema kile wanacho kioni kuwa ni upendeleo kwa vimoja vyama vya kisiasa Baraka tarafani Fizi
Écrit par FiziMedia sur décembre 30, 2018
BARAKA
Bahazi ya mashaidi wa vyama vimoja wasema kile wanacho kioni kuwa ni upendeleo kwa vimoja vyama vya kisiasa Baraka tarafani Fizi,kwani wamoja walifukuzwa katika vyumba vya upigaji kura,kulingana na mashaidi hao walisema kuwa kuna rushwa ambayo CENI ilipokea kutoka vyama ivyo,kwake mkuhu kiongozi wa kituo cha upigaji kura cha mwenge Wataifa aliambia www.FiziMedia.com kuwa kunakuwa madilishano huku wamoja ufaa dakika 30 kisha wengine wanaingia,kashfa ambayo yatupiliwa mbali
fizimedia.com