Baraka-Fizi : Hapa tuko Maeneo za BARAKA tarafizi,kwenye ziwa tanganyika

Written by on décembre 26, 2018

Hapa tuko Maeneo za BARAKA tarafizi,kwenye ziwa tanganyika,hali iko kama unaovyo hona hapa kwenye picha,wa mamans wameahuka kuosha vyombo kama kila asubui,tuliojiana nao wakatuambia kuhusu Ukosefu wa usalama na ukosefu wa Samaki katika bahari iyo,Tuko moja kwa moja hapa Baraka,unaweza kuhuliza swali,trembelea ukurasa wetu wa

www.fizimedia.com ou fizimediatv@gmail.com


Reader's opinions

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *Current track

Title

Artist

FiziMedia

GRATUIT
VOIR